Mnamkumbuka Tong Po yule ambae Van Damme alimkuta anapiga ukuta hadi unatiksika kwenye movie ya kick boxer 😂. Kumbe hakuwa Mthailand wala nini!

Mnamkumbuka Tong Po yule ambae Van Damme alimkuta anapiga ukuta hadi unatiksika kwenye movie ya kick boxer 😂. Kumbe hakuwa Mthailand wala nini!

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715

View: https://youtube.com/shorts/gTEMno7Z2-U?si=xSlG6kfVeuVYMh01
Screenshot_20241031-150618.png

Kumbe jamaa ana asili ya morocco. Ila Kwenye filamu alitengenezwa ili afananie kama mthailand.

Ila jamaa ni mtalaam wa martial arts pia ni muaandaji wa filamu za zinazohusiana na martial arts.

Kickboxer ni moja ya classic movies zilizotukuza vijana wa Kitanzania.
d1cca8b43edcf2e6a68b9ea82a621f3c.jpg
 
Nakumbuka mkwala wake mmoja hivi siku ya pambano walivyoingiza mikono kwenye chupa zilizosagwa mwamba akalamba gloves kwa ulimi
 
Back
Top Bottom