Mnamkumbuka Tong Po yule ambae Van Damme alimkuta anapiga ukuta hadi unatiksika kwenye movie ya kick boxer πŸ˜‚. Kumbe hakuwa Mthailand wala nini!

Nakumbuka mkwala wake mmoja hivi siku ya pambano walivyoingiza mikono kwenye chupa zilizosagwa mwamba akalamba gloves kwa ulimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…