Mnamo 2018, Elon Musk alizindua Tesla Roadster yake angani

Baba Dayana

Senior Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
144
Reaction score
330
Mnamo 2018, Elon Musk alizindua Tesla Roadster yake angani.

Hakuandika chochote kama "Made in America" au "Made by Tesla."

Aliandika kwa urahisi, "Made on Earth by humans."
 
Ulimwenguni kuna viumbe vingine zaidi ya sisi wanadamu ambao tunaishi katika sayari ya dunia. Hivyo viumbe vingine wana maarifa, weledi, akili na werevu zaidi ya sisi wanadamu duniani.

Elon alichofanya ni acknowledgement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…