Mnamsakama Mbowe ila kuna wabunge wa CCM wamekalia viti tangu 2005 (2005---2025) 20yrs

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka

kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti.

Why double standard kwa Freeman Mbowe
 
Sasa unaongelea uenyekiti au ubunge? Kama suala ni kukaa muda mrefu hata waalimu wapo wengi tu wamekuwa waalimu kwa miaka zaidi ya 30.
Kama unamtaka Mbowe hakuna kosa ila usianze kutoa mifano isiyofaa.
 
demokrasia inagusa nyanja moja tu pahala kuna ushindani na anatakiwa mtu mmoja kutoka kura za watu wengi..

manake udiwani,ubunge,urais hapa demokrasia inaingia directly kikawaida lazima ingetumika

ila kwasababi hamtimii logics na facts mnaona ni sawa tu

umewahi kuona mwalimu anagombea kua mwalimu wa shule x

tumia ubungo kufikiri usitumie macka-lior
 
Naona km unazungumza vitu viwili tafauti, ukisema mbunge wa zamani basi wooote tutamwangalia Mkuch....... maana yupo toka Uhuru. Ila team kijani kila rais aingiae madarakani ndiyo anakuwa mwenyekiti wa chama.
 
kwaiyo demokrasia inahusisha nafasi ya uwenyeketi tu.

normally wabunge wote miaka 10 inawatosha
 
Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka

kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti.

Why double standard kwa Freeman Mbowe
mbona ccm ndio wanaomtetea mbowe aendelee kuwa mwenyekiti? Ingekuwa ni ccm wanampinga ingekuwa sawa. Labda siku za nyuma ccm ndio walikuwa wanakomalia kakaa muda mrefu uenyekitini ila kwa sasa wamegeuka wanataka aendelee asikubali kumuachia lisu kitisho chao
 
Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka

kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti.

Why double standard kwa Freeman Mbowe
Sasa mbowe ni mbunge?
 
Mbunge
Mwenyekiti WA chama
Hii miaka yotee huoni dhambi
 
Kufananisha nafasi ya Mwenyekiti wa Chama na Ubunge, haya ni madharau.
 
Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka

kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti.

Why double standard kwa Freeman Mbowe
Jenista Mhagama, William Lukuvi
 
Vipi kufananisha nafasi ya mwenyekiti wa chama na Urais wa nchi??
Mbunge ni kwa ajili ya jimbo, mwenyekiti wa chama ni kwa ajili ya chama kwa ngazi ya taifa, tena aliepo kw amujibu wa katiba ya chama fulani ambacho ndicho chenye mamlaka ya kukubali nani akawakilishe chama katika ngazi ya ubunge,chama kina nguvu kubwa juu ya mbunge ambae ndie mwanachama wao, na bila hicho chama hakuna huyo mbunge,lakini bila huyo mbunge chama kinaendelea kuwepo.
 
wewe ni K kama K nyingine tu...

CCM inabadilisha nafasi ya mwenyekiti wa Chama kila baada ya miaka kadhaa, na hio ndio ngazi husika ya kufananisha na Chadema.

Sasa wewe ongea kama K
Hubadilishwa kwa utaratibu gani. Kiongozi gani asieshindanishwa. HUKO nako ni sawa na nyani tu kucheka kundule
 
Back
Top Bottom