Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
wewe ni K ya bibi yako fakiiii yuuuuuwewe ni K kama K nyingine tu...
CCM inabadilisha nafasi ya mwenyekiti wa Chama kila baada ya miaka kadhaa, na hio ndio ngazi husika ya kufananisha na Chadema.
Sasa wewe ongea kama K
Sasa unaongelea uenyekiti au ubunge? Kama suala ni kukaa muda mrefu hata waalimu wapo wengi tu wamekuwa waalimu kwa miaka zaidi ya 30.Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka
kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti.
Why double standard kwa Freeman Mbowe
demokrasia inagusa nyanja moja tu pahala kuna ushindani na anatakiwa mtu mmoja kutoka kura za watu wengi..Sasa unaongelea uenyekiti au ubunge? Kama suala ni kukaa muda mrefu hata waalimu wapo wengi tu wamekuwa waalimu kwa miaka zaidi ya 30.
Kama unamtaka Mbowe hakuna kosa ila usianze kutoa mifano isiyofaa.
kwaiyo demokrasia inahusisha nafasi ya uwenyeketi tu.Naona km unazungumza vitu viwili tafauti, ukisema mbunge wa zamani basi wooote tutamwangalia Mkuch....... maana yupo toka Uhuru. Ila team kijani kila rais aingiae madarakani ndiyo anakuwa mwenyekiti wa chama.
mbona ccm ndio wanaomtetea mbowe aendelee kuwa mwenyekiti? Ingekuwa ni ccm wanampinga ingekuwa sawa. Labda siku za nyuma ccm ndio walikuwa wanakomalia kakaa muda mrefu uenyekitini ila kwa sasa wamegeuka wanataka aendelee asikubali kumuachia lisu kitisho chaoHawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka
kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti.
Why double standard kwa Freeman Mbowe
Sasa mbowe ni mbunge?Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka
kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti.
Why double standard kwa Freeman Mbowe
MbungeHawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka
kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti.
Why double standard kwa Freeman Mbowe
Hatutaki MKT wa milelekwaiyo demokrasia inahusisha nafasi ya uwenyeketi tu.
normally wabunge wote miaka 10 inawatosha
Vipi kufananisha nafasi ya mwenyekiti wa chama na Urais wa nchi??Kufananisha nafasi ya Mwenyekiti wa Chama na Ubunge, haya ni madharau.
Jenista Mhagama, William LukuviHawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka
kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti.
Why double standard kwa Freeman Mbowe
Mbunge ni kwa ajili ya jimbo, mwenyekiti wa chama ni kwa ajili ya chama kwa ngazi ya taifa, tena aliepo kw amujibu wa katiba ya chama fulani ambacho ndicho chenye mamlaka ya kukubali nani akawakilishe chama katika ngazi ya ubunge,chama kina nguvu kubwa juu ya mbunge ambae ndie mwanachama wao, na bila hicho chama hakuna huyo mbunge,lakini bila huyo mbunge chama kinaendelea kuwepo.Vipi kufananisha nafasi ya mwenyekiti wa chama na Urais wa nchi??
Hubadilishwa kwa utaratibu gani. Kiongozi gani asieshindanishwa. HUKO nako ni sawa na nyani tu kucheka kundulewewe ni K kama K nyingine tu...
CCM inabadilisha nafasi ya mwenyekiti wa Chama kila baada ya miaka kadhaa, na hio ndio ngazi husika ya kufananisha na Chadema.
Sasa wewe ongea kama K