Mnamuona Jose Luis Miquisson

Mnamuona Jose Luis Miquisson

Mkuu Young Africans Hii Hata Utupeleke Kiwanja Kinachowaka Moto Bado Mtu Atapigwa Vile Vile.

Mwaka Huu Hakuna Timu Itakayosalia Ni Dose Takatifu Kwenda Mbele.
 
Mkuu hakuna hata kapicha kakusindikizia hii Thd?
Picha tu?
IMG-20220222-WA0045.jpg
 
Huyu jamaa jana nilimkumbuka nikasema kama ana flop bora waturudishie, naona ndio amenipa majibu... ok.
 
Kapangwa sababu hiyo team waliyocheza nayo iko huko chini kwenye kushuka daraja kama zile mechi anazopangwa yule mchezaji wa Yanga mcongo jina limenitoka mwenye kujaza akifunga goal ili kuonesha kiwango siku tukimuona anapangwa wakicheza mechi kubwa za ndani na nje.
 
Aisee.
 
Ni mchezaji wa jukwaani hata benchi hakakai,amecheza kwa kuwa timu imehifadhi mashindano zake kwa mechi muhimu ijayo
 
Katupia goli mbili safi kabisa, huyu dogo ni bonge la mchezaji basi tu!!
 
Kapangwa sababu hiyo team waliyocheza nayo iko huko chini kwenye kushuka daraja kama zile mechi anazopangwa yule mchezaji wa Yanga mcongo jina limenitoka mwenye kujaza akifunga goal ili kuonesha kiwango siku tukimuona anapangwa wakicheza mechi kubwa za ndani na nje.
Ndio timu aliyotoka huyo boya mnamuita Dkt Aucho
 
Back
Top Bottom