Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
We kolo amka utajikojoleaKipa wa mtibwa ashapewa bahasha usipoteze mda kwa game ya kesho ya utopolo
Picha tu?Mkuu hakuna hata kapicha kakusindikizia hii Thd?
Kwa hiyo kwa Mama Samia hamuendi tena kushtaki marefarii?Mkuu Young Africans Hii Hata Utupeleke Kiwanja Kinachowaka Moto Bado Mto Atapigwa Vile Vile.
Mwaka Huu Hakuna Timu Itakayosalia Ni Dose Takatifu Kwenda Mbele.
Ndio hivo bahasha zishafanya kazi kwaiyo kesho mwana utopolo vimba utopolo vimbaWe kolo amka utajikojolea
Utopolo subirini Mugalu akawamatie mwiko soon mfurahiMiquessone ni mugalu aliyechangamka.
NakaziaKwa hiyo kwa Mama Samia hamuendi tena kushtaki marefarii?
Aisee.Kapangwa sababu hiyo team waliyocheza nayo iko huko chini kwenye kushuka daraja kama zile mechi anazopangwa yule mchezaji wa Yanga mcongo jina limenitoka mwenye kujaza akifunga goal ili kuonesha kiwango siku tukimuona anapangwa wakicheza mechi kubwa za ndani na nje.
Ni mchezaji wa jukwaani hata benchi hakakai,amecheza kwa kuwa timu imehifadhi mashindano zake kwa mechi muhimu ijayoKapangwa sababu hiyo team waliyocheza nayo iko huko chini kwenye kushuka daraja kama zile mechi anazopangwa yule mchezaji wa Yanga mcongo jina limenitoka mwenye kujaza akifunga goal ili kuonesha kiwango siku tukimuona anapangwa wakicheza mechi kubwa za ndani na nje.
Teh teh teh sasahivi wmehamia kwa mama Samia hawa jamaa watazunguka Dunia nzima wakilialiaKwa hiyo kwa Mama Samia hamuendi tena kushtaki marefarii?
Udhamini wa ligi kuu umewashinda huyu dogo watamuweza?Louis ni mchezaji hatari , ilikuwa aibu utopolo kumuhusisha kuhamia utopoloni.
Ndio timu aliyotoka huyo boya mnamuita Dkt AuchoKapangwa sababu hiyo team waliyocheza nayo iko huko chini kwenye kushuka daraja kama zile mechi anazopangwa yule mchezaji wa Yanga mcongo jina limenitoka mwenye kujaza akifunga goal ili kuonesha kiwango siku tukimuona anapangwa wakicheza mechi kubwa za ndani na nje.