Mnamuonaje Yassin Mustapha? Singida Big Stars tumemsajili rasmi

Haya makapi ya Simba na Yanga hayataifikisha popote hii timu
 
Singida Big Stars nyie mtatisha sana. Hongereni sana. Usajili wenu uko safi sana.
Bado msimuache na Ndemla mimi ni Yanga ila namkubali sana jamaa anaweza mpira na ni kijana ana pumzi.
Vp kuhusu Ninja na huyu beki wa kati wa Yanga mzenji? Vipi Salum Kihimbwa?
 
Tunahitaji majina mapya sio hawa wa kila siku.
 
Watu wa Soka,

Tumefanikiwa kuinasa saini ya Beki Imara kutoka Klabu ya Yanga, Yassin Mustapha Salum.

Atakuwa nasi kwa mkataba wa miaka miwili kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu ya NBC.

Beki wa maana sana huyu!

View attachment 2295199!
Usajili mzuri. Ukiona mchezaji amepita kwenye klabu kubwa na kongwe kama Yanga, basi ujue amekamilika!
 
Singida Big Stars mmejua kujiongeza. Inaonesha kabisa mko tayari kukabiliana na changamoto za NBC PL.
 

Asante sana mdau. Ndemla tayari ni BIG STAR. Tupo nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…