Roulette JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 5,568 Reaction score 5,386 Jan 11, 2012 #101 Umesema kweli kabisa. Kama figure aliweza kui-maintain wakati wa uchumba, na hata kabla ya hapo kwa nini ajiachie? hajui kua katika vitu vilikufanya umpende na hiyo figure ilikuwemo?
Umesema kweli kabisa. Kama figure aliweza kui-maintain wakati wa uchumba, na hata kabla ya hapo kwa nini ajiachie? hajui kua katika vitu vilikufanya umpende na hiyo figure ilikuwemo?
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 Jan 11, 2012 #102 Kipipi said: dah........hapo umeua kila kitu aisee japo najua utanibania tu!!! Click to expand... We fikisha uone. . . . .
Kipipi said: dah........hapo umeua kila kitu aisee japo najua utanibania tu!!! Click to expand... We fikisha uone. . . . .
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Jan 11, 2012 #103 Lizzy said: We fikisha uone. . . . . Click to expand... Are you fat?
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 Jan 11, 2012 #104 Nyani Ngabu said: Are you fat? Click to expand... Yeeaah. Are you. . .?
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,511 Jan 11, 2012 #105 Mpita Njia said: nani kakudanganya kuwa kuwa wenye vitambi hawana mvuto? Hujajua raha ya kitambi cha binti wewe... Sie wengine ndo ugonjwa wetu huo Click to expand... hata mimi nashangaa wakati wengine tunapenda kweli manyama! sema mnakuwa hamjui matumizi yake jamani!
Mpita Njia said: nani kakudanganya kuwa kuwa wenye vitambi hawana mvuto? Hujajua raha ya kitambi cha binti wewe... Sie wengine ndo ugonjwa wetu huo Click to expand... hata mimi nashangaa wakati wengine tunapenda kweli manyama! sema mnakuwa hamjui matumizi yake jamani!