Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Aka kambwa toka nikanunue hakabweki kabisa! sijui
Tatizo litakua nini wadau
Tatizo litakua nini wadau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
. Uhuhuuu Mrudishe haraka ulipo mnunua maana halo anashangaa swala hawaonekani wala nyumbu.Atatafuna familia nzimaa.
Aka kambwa toka nikanunue hakabweki kabisa! sijui
Tatizo litakua nini wadau
View attachment 1340152
Jiandaeni kugeuzwa kitoweo nyumba nzima, Simba hajawahi kumwacha mtu salama. RIP in Advance mkuu
🤣
Hahahaaa! Hako kaache tu katakuwa kanabweka kakifikia umri Fulani kwasasa bado kanyonge
Naunga mkono hoja asilimia mia kwa mia lakini kakikua kataanza kubweka humo humo ndani🤣
Au labda hakajazoea mazingira; akaache kakue kue, katabweka tu!!