Mnanishaurije maana mimi sielewi

Acha kupiga nyeto na kuangalia pono. Hakikisha haumwagi mbegu zako. Baada ya miezi mitatu utabadilika kuanzia ngozi na mtazamo. Wataanza kujiletela maana Hormone zako za testerone zitaanza kupanda. Kila siku inabidi uhakikishe unaaamka saa 05:00 am na unakimbia ukirudi ghetto unaoga maji ya baridi. Hakikisha una ratiba maalumu ya kulala na kuamka na hauibadilishi. Komaa na kazi unayoifanya ukipata muda free jifunze kitu kipya kama ni ufundi au taaluma yeyote. Nakutakia safari njema ya kuyabadilisha maisha yako ndugu yangu.
 
Mkuu, watakupopoa sana ila sikia hili. Mademu wenye akili, na wasio ombaomba wapo, shida yao sio wazuri. Nadhani huwa wako vile ili wapate wa kuwastiri. Unachokisema hata mimi kimewahi nikuta. Kuna muda sikua na demu na maokoto sina. Nikawa bize na mishe zangu tu, nikaanza kunyanyuka kiuchumi. Kuna dem mzuri wa kawaida nikamtupia voko, akanijibu "kama nitaweza kumhudumia no problem "nilichoka bikasema natafuta mke tujenge mji sio mla pesa bila faida wala malengo.

Nikaachana na wanawake tena nikajikeep na mishe zangu. Sasa muda wote huo kuna vibinti viwili vilikua vinanilia rada, yaani mimi tu ndio nazingu sivitaki. Kimoja kutoka uchagani, moshi moja na kingine moro moja. Shida yao wote yaani kila nikiwaangalia sioni cha maana wanacho ishawishi nacho. Yaana hawana muonekano kabisa. Kuna muda hadi unajiuliza hivi hawa hata nikiwa na mahusiano nao hata kumtambulisha kwa mtu si nitaona aibu. Ila sasa hao wasio na mionekano ndio wife material, hawa wenye mashep yao wameamua kutafuta pesa kutokana na walivyo.

Kwahio mkuu mademu wasio na makuu wapo ila hawana muonekano. Mademu wengi wenye muonekano wameamua kutumia muonekano wao kujikwamua kiuchumi, so kama huna maokoto huwapati. Kazi kwako kuchagua, ubebe asie na muonekano ambae sio ombaomba au ijitafute uje uwe na pisi kali. Zingatia umri sio mjomba ako.
 
Subiria kwanza huku pagumu kijana usije kama hujajipanga, tuliopo tunajuta... Kaa hivyo hivyo tu kwani shingapi mbona Isaac Newton alikufa bikra 😎🤭
 
Force maisha usiforce mapenzi
 
Shukrani mkuu sema hata pisi Kali huwa inatokea zinamuelewa mtu ila Sasa mifumo na pigo zao ndio changamoto utakuta pisi Kali imekuelewa ila ni barmaid nyingine inatakaa uipe pesa hata kama ni kidogo hiyo nyingine inatakaa uje uioe na hauionji Ina gawa kwingine ila wewe inakukazia inadai mbaka muoane. Nyingine inatakaa uizalishe.
 
How the fuk unakosa girlfriend wa kupiga? Mimi nikitoka tu nje hatua 10 mbele siwezi kukosa mtoto mzuri.

Fanya hivi:
Fanya mazoezi jenga mwili wenye afya, sio kama wale wase**e mabody bulder, hapana. Maana yake usiwe bonge wala mwembamba kama sigara sababu automatically watu watakuchukulia poa, especially wanawake. Jenga mwili fit.
Nyoa nywele style safi.
Vaa nguo kali na safi, vaa nguo stylish na za kiume, buti, raba kali, jeans au kitambaa, fulana na koti eidha jeans au kitambaa. Usivae kama mshamba, mluga luga au mchungaji masuti suti makubwa kama unaenda kuzikwa.
Jua kuongea kwa sauti na smartly na sio unaongea kama unakimbizwa na panya road huku moyo unadunda kama mpira wa simba na yanga. Na vilevile kuwa charming sio unajing'ata ng'ata kama demu na kujificha ficha, au kigugumizi.
Tumia sauti nzito hasa ukikutana na demu usiyemjua. Na ongea taratibu na uhakikishe unasikika huku ukiwa na smile usoni ili umfanye comfortable, relaxed na safe. Trust me, wanawake wanasense kama unamuogopa.
Hakikisha unamuangalia machoni, angalia pembeni then atakubandika lebel ya BOYA.
Hivyo vitu automatically vinaonesha confidence hivyo hakuna haja ya kukwambia kuwa confident vaguely. Pia vinapandisha status yako, na automatically mwanamke atakuona uko juu zaidi yake na hatokuwa na mbavu za kukukatalia sababu wanawake wanapenda watu waliowazidi kila kitu hadi urefu. Au wewe ni mfupi mkuu? Haijalishi wewe fuata maneno yangu.

Hayo yote ni muhimu lakini hayatokuwa effective kama akili yako au mental health yako is shit. Hivyo kufix hilo, hakikisha kila girl unayemuona ni average au below average. Muone yuko chini yako. Utamuapproach ili kumcheck kama atanifaa au lah. Na unapoapproach demu hakikisha sio unaenda kumfurahisha na kumridhisha yeye, hapana, bali nenda kamcheck uone kama yeye atakuridhisha wewe au lah. Kama hakuridhishi mpotezee piga chini. Tafuta mwingine.
Na kingine cha muhimu kabisa ni usiwe lialia, usiwe needy wala muhitaji sana. Wewe chukulia kama mchezo wa kubeti, except hauna cha kupoteza kama ukishindwa. Na njia pekee ya kutokuwa needy ni kuwa na goal au kitu unafanya then automatically watakuja wenyewe baada ya kufanya yote ya juu.

Hii ni kwa ajili ya watu waoga waoga wanaoogopa wanawake. Binafsi kila mwanamke ninayemuona ni yupo chini yangu automatically, it's just who I'm. Selfish, condescending, narcissistic human being.

Deal with it au subiri uje kuitwa The 40-year-old Virgin kama huyo jamaa kwenye hiyo movie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…