Mnanishaurije maana mimi sielewi

Hivi ikikujia njemba mbavu nene ikakuambia imekupenda unamjibu nini?
 
Usiogope Mi na mademu watatu na wote wanajua sina hela ila wawili nimekata nao mawasiliano nimebaki na mmoja ili nisiwe mkosa pesa na mkosa uaminifu
 
Dah unaandika kama unawahi chooni mzee
 
Kote uko sawa top dawg 💪, ila mbona unajisiliba tena..
 
Kote uko sawa top dawg 💪, ila mbona unajisiliba tena..
Because I don't seek validation. Because don't care about what you say or think.
Considering nilivyovisema sio weaknesses bali important features kama unataka kuishi kwa amani duniani. Ukiwa Selfish utajijali mwenyewe which is good.

Ukiwa narcissistic, not in a literal manner like seeking approval and validation or some shit, No. But vaguely, then hautoweka watu kwenye pedestals na kuwaona bora zaidi yako. Means utakuwa na high self esteem.

Ukiwa condescending na arrogant, sio lazima uonyeshe kama udharau watu, bali utakuwa unawaona watu kwa jinsi walivyo, na utakuwa unaweza kuona wanachofikiria. Hence kuwafanya wafanye unavyotaka bila wao kujua.

They're the most essential features to ensure a significant stability level of a man's survival.
 
Duuu! Ni noma sana hapo inabidi utafute Hela ya mahali, kiwanja,mtaji hafu bado mta gawana 50 Kwa 50
 
Yani yote hayo kwa ajili ya kuvutia wanawake!!!! Msiwa-ovaratte sana hao viumbe😉😁
 
Tafuta pesa
 
Yani yote hayo kwa ajili ya kuvutia wanawake!!!! Msiwa-ovaratte sana hao viumbe😉😁
Not overeating, wala sio kwa ajili ya kuattract girls. Hayo haufanyi bali ni mambo natural ya high value men.

Kama unauza viroba vya mkaa lazima ushangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…