britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kuna Nyuzi zangu Kama nne nimeona watu kama sita wana copy na kutumia,
1.Nilileta ule wa MOSCOW na DR SHIKA watu wakaenda kuifanya Simulizi YouTube wakapata Viewes bila hata kuni acknowledge,..
www.jamiiforums.com
2. Nikaleta Uzi wa ni Siri gani umeficha Ficha nimeona unatrend sehemu
3.Uzi mwingine nikasikia Loveness love wa Ala za Roho anatumia Jamani dah toeni credit
4. Wa Hadara za Vita ya Urusi na UKRAINE pia Jamaa Telegram karuka nao duh
Sasa Huu wa Ushauri Kwa Makonda nasikia Jamaa anajiita BUYOBE nao karuka nao
Alafu watu wanakuja kusema mi ni Buyobe Au nimekopi kwake!
Nikamsaka Buyobe nikagundua kauandika Masaa 9 yaliyopita wakati mimi nimeuandika Masaa 14 yaliyopita watu hata hapo hamtofautishi??
Toeni acknowledgment
Nimemfuata hata DM
KANITANDIKA BLOCK NA UZI KAUFUTA JAPO KASHAPIGA PESA TELEGRAM
1.Nilileta ule wa MOSCOW na DR SHIKA watu wakaenda kuifanya Simulizi YouTube wakapata Viewes bila hata kuni acknowledge,..
Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli
Lancefort Ltd ni kampuni iliyosajiliwa nchini Russia miaka kadhaa iliyopita, na kwasasa haifanyi kazi kwa kipindi kirefu baada ya watendaji wake kupotea gafla kwa mazingira ya kutatanisha. Kutoka mjini Rostov on don napokaa mpaka Moscow ni mwendo mrefu kidogo ambao ni km 1200 na zaidi, kwa...