Pale watu wanapokosa mbinu kabisa za kuchangisha hela kwa kujikimu
Eti Ukimwi
Kuna nchi nne jirani wanatengeneza madawa ya ARV wenyewe na wanajitambua
Sisi tunashindwaje kutengeneza?
Basi waige hata Zimbabwe au Namibia kutengeneza
Hakuna think tank huko ?
Hapa Khan amepita kwa kishindo muhula wa 3 kama Mayor wa jiji
Anakusanya £445m kwa mwaka kwa congestion charge pamoja na Ulez (ultra low emission zone)
Ukiingia tu jijini lazima ulipie
Ukija bongo sasa eti mtu ndio kwanza anakuja na kigari tayari ana mlolongo wa kodi
Walai.......Umalaya wafanye wengine mzigo tubebeshwe wengine. Hivi mtu na akili zako unatoka kwako asubuhi unakwenda kwenye ofisi ya serikali unaweka matako yako magumu kama nyani,unakaa na wapuuzi wenzako mnakuja na kodi maalumu kwaajiri ya kuchangia manunuzi ya dawa za ukimwi? KWELI KUMMMKE?🤔
Hivi raia tumeshindwa kabisa kumalizana vibaya na hawa wapumbavu?🤔
Msikilize vizuri, wazee wa hybrid hawajapona, ila wale wa full EV ndio wamepona, kasema gari yako ikiwa tu na CC basi utalipishwa.. kigezo itumie petrol au diesel.Kwahiyo wazee wa hybrids na EV wamesolve.
Kwanini jina langu halipo hapaHakuna maneno mengi acha niwaweke video msikilize wenyewe
View attachment 3446995
Ova
Mshana Jr
Extrovert
RRONDO
Black Sniper
Erythrocyte
Mimi nampongeza trump kwa hili --- muafrika ni mtu ambaye kichwa chake ni kama patasiUmalaya wafanye wengine mzigo tubebeshwe wengine. Hivi mtu na akili zako unatoka kwako asubuhi unakwenda kwenye ofisi ya serikali unaweka matako yako magumu kama nyani,unakaa na wapuuzi wenzako mnakuja na kodi maalumu kwaajiri ya kuchangia manunuzi ya dawa za ukimwi? KWELI KUMMMKE?🤔
Hivi raia tumeshindwa kabisa kumalizana vibaya na hawa wapumbavu?🤔
Mahondaw njoo uorodheshe wa hapa JFKwa wagonjwa wa gwegwe hii ni habari nzuri
khan destroys london …
Na hatuoni maendeleoHalafu hizo kodi sasa🥵🥵🥵🥵
Nakuonea huruma we zombieNgoja TAL aingie madarakani zote hizi piga chini.
Futungo si watu wazuri!
Ulitaka nani watibie Ukimwi? Wakati mnatiana serikali iliwatuma? Bebeni mizigo ya ndg zenu, mambwa nyieUmalaya wafanye wengine mzigo tubebeshwe wengine. Hivi mtu na akili zako unatoka kwako asubuhi unakwenda kwenye ofisi ya serikali unaweka matako yako magumu kama nyani,unakaa na wapuuzi wenzako mnakuja na kodi maalumu kwaajiri ya kuchangia manunuzi ya dawa za ukimwi? KWELI KUMMMKE?🤔
Hivi raia tumeshindwa kabisa kumalizana vibaya na hawa wapumbavu?🤔
Ameimarisha sana London transportkhan destroys london …