Ona sasa na wewe sijui umetokea wapi,akili za hovyo kabisa hizi, kwahiyo wewe ukifanya umalaya ina maanisha na mimi nafanya?Ulitaka nani watibie Ukimwi? Wakati mnatiana serikali iliwatuma? Bebeni mizigo ya ndg zenu, mambwa nyie
Mimi kwakweli nitatafuta namna ya kutowajibika na hiyo kodi ya kipuuzi kabisa hiyo.
Wamepona haooKwahiyo wazee wa hybrids na EV wamesolve.
Umesamehewa mkuu kwa sauti ya apposty mwamposaNmekusau mkuu 😄
Niwie radhi
Ova
Bosi anajua.Hakuna maneno mengi acha niwaweke video msikilize wenyewe
View attachment 3446995
Ova
Mshana Jr
Extrovert
RRONDO
Black Sniper
Erythrocyte
Huko BMW,Ford nk bei ya kawaida sasa sema uilete huku uone ukatavyopigwa kama ngomaHawa watu sijui kama wanawaza vizuri Nchi ina kodi kwenye magari ya hatari leo nimeangalia hapa Mitsubishi moja ya 2023 hapa wanauza rand 110,000 ambayo haifiki hata Tsh 20m nikaangalia kikokotoo cha TRA wao wanataka Tsh 31m aisee sijui wanawaza nini hapo hapo wanataka kuongeza iwe 50m kwa vitu ambavyo havieleweki kabisa ndio maana watu wengi wanakwepa kulipa kodi za magari na wao wapo busy na Task force hawajui chanzo cha mambo yote hayo ni wao..
Nimeleta Ford hapo ya 2020 ina miaka kadhaa ila nilitaka kupata la 2024 au 2025 biturbo ni nyepesi sana sema wahuni kodi yao wanaweza kuondoka na roho ya mtu..Huko BMW,Ford nk bei ya kawaida sasa sema uilete huku uone ukatavyopigwa kama ngoma
Ova
Hivi Zimbabwe sahv bado sheria yao ukitoka na gari kutokea dizonga ukipita hapo lazima uipakie kwenye lodder ipo bado au wameiondoaNimeleta Ford hapo ya 2020 ina miaka kadhaa ila nilitaka kupata la 2024 au 2025 biturbo ni nyepesi sana sema wahuni kodi yao wanaweza kuondoka na roho ya mtu..