Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Kwa gari za Japan ambazo zipo transit unapakia ila kama inaingia kwao unalipia kodi sema kutoka Durban bei inakua kubwa ndio maana Wazimbabwe wanakuja kupokea kupitia Daslm.Hivi Zimbabwe sahv bado sheria yao ukitoka na gari kutokea dizonga ukipita hapo lazima uipakie kwenye lodder ipo bado au wameiondoa
Ova
Huku tunabamizana sanaNimeleta Ford hapo ya 2020 ina miaka kadhaa ila nilitaka kupata la 2024 au 2025 biturbo ni nyepesi sana sema wahuni kodi yao wanaweza kuondoka na roho ya mtu..
Michongo itakua bado ipo kwa wahuni mazee Tanzania inakufa kwa sababu ya kodi kubwa kwenye magari harafu tupo busy tunatengeneza bara bara kwa ajili ya kupitisha magari ya Transit ya wageni huku raia wakijificha kwenye viaist na passo kutwa kuulizana hii gari ni nzuri kwa sababu gari zinazoagizwa ni chakavu kwa sababu ya miaka ya karibuni kodi imesimama.Huku tunabamizana sana
Zamani kulikuwaga na mchongo
Mmoja hivi wa kuingiza magari unaingilia malawi sema sahv michongo hakuna
Ova
mwisho ni 2030Inaonekana ukiwa na gari kupata juliana a.k.a ukimwi ni rahisi sana au sio!....
Naona wawekezaji wa ki Asia macho yanawatoka..ndio mama huyo tunae na tunatamba nae mpaka 2035.
Umeongea kwa uchungu sana πΉπΉUmalaya wafanye wengine mzigo tubebeshwe wengine. Hivi mtu na akili zako unatoka kwako asubuhi unakwenda kwenye ofisi ya serikali unaweka matako yako magumu kama nyani,unakaa na wapuuzi wenzako mnakuja na kodi maalumu kwaajiri ya kuchangia manunuzi ya dawa za ukimwi? KWELI KUMMMKE?π€
Hivi raia tumeshindwa kabisa kumalizana vibaya na hawa wapumbavu?π€
Atakuwa mkuu wa manyapara huko jela?Ngoja TAL aingie madarakani zote hizi piga chini.
Futungo si watu wazuri!
Atakuwa mkuu wa manyapara huko jela?
Ameshindwa hata ku- pronounce TRANSPORT anasema TRANSPART, What a Joke.Hakuna maneno mengi acha niwaweke video msikilize wenyewe
View attachment 3446995
Ova
Mshana Jr
Extrovert
RRONDO
Black Sniper
Erythrocyte
ni ngwengwe mkuu..πKwa wagonjwa wa gwegwe hii ni habari nzuri
ππππKodi ya MAPUMBU ipo njiani, lakini ni kwa wale wenye MAPUMBU MAWILI, Ukiwa na PUMBU MOJA, haina haja ya kulipa Kodi ya Mapumbu,
DHUMUNI/SABABU ya KODI YA MAPUMBU ni kutokana na Global Warming, Msuguano wa MAPUMBU MAWILI unachangia Kwa kiasi kikubwa Kwenye Global Warming.......
Wadau kaeni tayali