DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mara nyingi mtu akipata Mafanikio kidogo tu anaanza dharau na kuwaona ambao hawajafanikiwa kuwa ni wajinga
Kwanza vijana wa Tz wanapambana sana sema sera Mbovu ndo zinawarudisha nyuma .
Mtu anaishi Maisha yake hajakuomba chakula wala unga then unamuita Mjinga huu Ni upuuzi .
Mtu unasikia anawaambia eti nendeni vijijini mkalime wakati wengine tumezaliwa Mjini na hapa Mjini ndo kijijini kwetu
Upuuzi Flani unaboa sana .
sisi vijana most of them tumejiajiri na tunatunza Familiya zetu lakini Mkiamka huko mnaanza ohoo mara vijana wavivu mara wajinga mara wapumbavu so this is shit honest.