DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
First time seeing a pregnant cow 😂. Huyu ng'ombe ana triplets sio bure!View attachment 2217662wakishashiba wanakua na dharau sana
Ndiyo maana wanajitahidi kuleta sera mbovu za Kiuchumi, kielimu Ili waweze kututawala vizuri ,.Sasa kwani sisi watanzania tumekuwa na akili timamu lini!?
Hao hao wenye sera mbovu zinazotukwamisha si ndio tunawachekea wanakuwepo madarakani, tunaambiwa tuvuke feri kwa kuogelea, tuhamie burundi, sisi hatuchimbi mafuta, marekanj mafuta yapo juu kuliko sisi, bilioni 4 mwingine akaita ya kwende sokoni, mwingine vichenji tu.
Unadhani tungekuwa timamu tungeambiwa hayo, achana na hao dagaa wanaokupigia kelele, twende kwa mapapa wanaoturudisha nyuma katika harakati zetu, hapo ndio ujinga wa kweli tutakuwa tumeufuta.
Sasa jiulize, juzi tu mlikutwa na wapiga picha mnaandamana mtaani kuunga mkono sinema ya 'Royal Tour,' hivi inakusaidia nini wewe hiyo sinema? Yaani ulikuwa hauna cha kufanya hiyo siku kweli? Au jiulize unarudi nyumbani mkeo anakuuliza ulikuwa wapi unamwambia nilikuwa napiga kelele mitaani huko mjini kushawishi watanzania wakaangalie sinema, unafikiri atakuhisi vipi?Mara nyingi mtu akipata Mafanikio kidogo tu anaanza dharau na kuwaona ambao hawajafanikiwa kuwa ni wajinga
Kwanza vijana wa Tz wanapambana sana sema sera Mbovu ndo zinawarudisha nyuma .
Mtu anaishi Maisha yake hajakuomba chakula wala unga then unamuita Mjinga huu Ni upuuzi .
Mtu unasikia anawaambia eti nendeni vijijini mkalime wakati wengine tumezaliwa Mjini na hapa Mjini ndo kijijini kwetu
Upuuzi Flani unaboa sana .
sisi vijana most of them tumejiajiri na tunatunza Familiya zetu lakini Mkiamka huko mnaanza ohoo mara vijana wavivu mara wajinga mara wapumbavu so this is shit honest.