Ndugu mnaobeti au kubashiri kwa njia ya mtandao ktk kampuni ya Premier kuweni makini sana, binafsi nilikuwa naweka (deposit) pesa kwa kutumia airtel money ktk akaunti yangu nikaweka pesa mara 5, kila nikiweka pesa napata ujumbe kwenye simu kuthibitishiwa kuwa nimeweka pesa, nimekwenda katika akaunti mtandaoni nione salio limekuwa ngapi ili nibeti,
Sijaona salio lolote lililowekwa. kumbeni njia hii ya kuweka pesa kwa njia ya airtel money ni ya hivi karibuni kwao na wanaitangaza sana kuwa weka pesa kwa njia ya airtel money. Baada ya kuona sioni salio, basi nikawasiliana na huduma kwa wateja mara kadhaa lakini hawana ufafanuzi wa kukurudishia pesa wao wanadai upige screen shot za meseji, kwakuwa meseji nilifuta basi nikawaomba airtel, airtel wanasema mbona pesa zote zimeingia premier basi waulize vizuri, nikaamua kuwaaomba transaction Id ya meseji zote, wamenipatia, nawatumia premier ili waweke pesa yangu ktk akaunti hawataki wanazungusha tu wakitaka screenshop za meseji.
NAWAANDIKIENI HAPA ILI MUWE MAKINI NAO HAWA PREMIER BET MTANDAO WA KUBETI WANAIBA PESA JIHADHARINI SANA, imepita wiki sasa hawataki kunirudishia pesa yangu, yaani pesa naweka ktk akaunti yangu wao wanachukua juu kwa juu haiingii kwenye akaunti, HAWA NI WEZI WA MTANDAONI, KUWENI MAKINI.