Mnaobet mjihadhari na makampuni feki, mtalia!

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Nilikuwa nasoma what's up Leo jamaa Fulani walikuwa wanaliaa makampuni feki ya bet yanayoanzishwa

Wazo tu msikimbilie makampuni mapya msijejuta chunguzeni kabla ya kufanya uamuzi
 
mkuu leo tu meridian baada ya mech kuanza kat ya yanga na mlandege...yanga akapewa point 5 na mlandege 1.6 live..watu tukajazana kuweka mizgo...dakika chache tuu...tukasikia mikeka imefutwa
 
Hhahahahajah hk hah
 
Back
Top Bottom