Mnaodhani mna gundu, Huu ndio ujanja wa kupendwa na wanawake

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Eti na wewe unajiita Mwanaume, Mwanaume
kumnunulia Zawadi Girlfriend wako ni mpaka uone
Valentine's Day imekaribia,ndio unajishaua na
Shopping ili kusafisha nyota..Nani aliyekwambia Usela
unalipa kwenye Mapenzi??Unahisi ukimnunulia Zawadi na kumuonyesha unampenda utaonekana
Bwege, Kuna kosa gani kuwa bwege kwa mtu
unayempenda??Hata wanafiki wakisema umeshikwa
waambie NDIO NIMESHIKWA NIMESHIKAMANA!
Make your Woman Smile...Wala huna haja ya kutumia
fedha nyingi kwenye Shopping za Mariedo..Ukionakitu kizuri Karume NUNUA Mpelekee..Ukiona Gauni zuri
Posta NUNUA mpelekee..Hamnakitu kizuri Wadawa
wanapenda kama ZAWADI,hata kama umenunua
JERO mtumbani,ile Feeling kwamba Ulipokiona
ULIMKUMBUKA YEYE inampa impression kwamba She
is On ur Mind na hilo ndo wadada wanataka....Surprise her pale asipotarajia...Mpigie Simu aje,akifika una
Parcel ya Saa nzuri..Utapendwa hadi ushangae...Hawa
watu wanaitwa ma-PLAYER hakuna Miujiza yoyote
wanayofanya kumuiba demu wako zaidi ya
hii,Wanajua Wanawake wanapenda nini na
wanawapa hicho.Wewe jifanye Msela halafu Ma- PLAYER wakufundishe Caring ni nini.USione Couple
zinadumu ukajua jamaa anatumia heeelaaaa,walaa
a..Mijisapraiz tu,demu anajiona Malkia masaa 24.
Sio kila Limbwata imetengenezwa na Mganga wa
Kienyeji,Ukitumia Akili tu sometimes ni Limbwata
tosha.
-Kwa Hisani ya Wanaume wote Tulio Dimbwini
 
Dah....!!!!unanikumbusha kitambo sana nilinunua kanguo flani cha mtumba gharama kiduchu karume nikampa mrembo,juzi kati nimewasiliana nae tunapiga stori amenikumbusha kuhusu hiyo zawadi dah!!!kweli limbwata hata wewe mwenyewe unalitengeneza kaka.
 
Dah....!!!!unanikumbusha kitambo sana nilinunua kanguo flani cha mtumba gharama kiduchu karume nikampa mrembo,juzi kati nimewasiliana nae tunapiga stori amenikumbusha kuhusu hiyo zawadi dah!!!kweli limbwata hata wewe mwenyewe unalitengeneza kaka.
Wanawake huwa wanadata na vitu vidogovidogo sana
 
Hili ni jema sana

Hii sio kwa hawa wa kizazi hiki... Acha tu tuzisake pesa tuwape na tuwape tena
Mwanamke unavyomuingia ndivyo anavyokuchukulia
 
Kuna hili pepo linaitwa "pesa ya saloon" daah
Fanya kila kitu,lakin kama kitandani ni mweupe basi kuchapiwa ni lazima.
 
Mwanamke unavyomuingia ndivyo anavyokuchukulia
Nimeyafanya yote ayoo..lakini mwisho wa Siku naona anazidi kudeka na kuongeza mapozi...nikasitisha Araka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…