Mnaoenda tamasha la kizimkazi

Mnaoenda tamasha la kizimkazi

Baba Ndubwi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
1,223
Reaction score
1,992
Mtu kwao,

Mama anaungana na ndugu zake, jamaa na marafiki wa kwao kusheherekea na kuzindua miradi ya maendeleo.

Mnaeonda muende salama na mrudi salama majumbani mwenu.

1. Pesa nyingi kubaki/kuingia Zanzibar/Kizimkazi hivyo wananchi wataneemeka(tatizo sasa % kubwa ni wavivu balaa watu wa Zanzibar).

2. Mabinti na vijana watapata wachumba na wasiohitaji muendeleza watapata wasaa wa kuudumisha muungano kwa kuchanganya damu kama ilivyofanyika kwa udongo.

3.Wazee wa hit and run sio mahala penu, utapigwa ndoa ya mkeka fastaa mtakula nini hiyo wazee wa huko hawafikirii kama huna hela baba mkwe anawachukua nyoote muishi nyumba moja.

4.Wafanya biashara na wadada wadangaji hakikisheni mnaenda na kizuia chuma ulete, maana mpemba kuhonga sio shidaa ila utashangaa hiyo pesa utavyoitumia hovyo hununui cha maana na ushagegedwa tayari.

5.Vibaka na wezi mnakaribishwa ila kule wizi sio mahala pake maana kule kutoroka kipendele,walinzi wapo ila hutokaa uwaone,kamera kila mtaa na njia za usafiri ni mbili tuu ili ufike bongo hiyo ya 3 ya ungo hutoboi maana kule majini ndio mitaa yao.

6.Vyakula vikuu ni urojo, bagia, kacholi, katlesi, mbatata na chips so wapenda kula mjipange kula biskuti kwa soda kwa sana.

7. Walevi na wavuta fegi mtajutaa, huku 99.9% ya maduka hawauzi hizo mambo maani ni kharamu.

8. Kule mabinti hawatoi namba za simu hadharani, wewe andika yako kwenye paper mpe kiwizi wizi baada ya tamasha atakufuata bara umfaidi,jiandae maana wanapenda hela balaa.

9.Usithubutu kupapasa binti (wanaita kukobea) kikinuka kesi mpaka mahakamani.(Utawapa familia mtaji wa biashara).

10.Mkinunua vitu vya electronics, mjiandae kulipa ushuru kabla hujaondoka. Kila kitu kinalipiwa kulingana na ukubwa.

Nakaribisha maswali.
 
Back
Top Bottom