Kuhusu Chita, Mlimba, Turiani, Mngeta, Mbingu, n.k mkoani Morogoro
Habari wapendwa na poleni kwa majukumu ya kila siku!
Baada ya salam niende kwenye jambo husika. Kuhusu hayo maeneo tajwa hapo juu na mengine yafananayo na hayo kwa kilimo cha mpunga hapa tz, napenda kufahamu kutoka kwa wadau walio maeneo hayo na mengine mfanano wa hayo hali ikoje kwa mtu anaehitaji kufanya biashara ya bajaji ya mizigo kubeba magunia ya mpunga na mazao mengine yapatikanayo
Pia na napenda nijue hali ya barabara katika vijiji hivo .
NB. Bajaji ni mpya kabisa wanhoo.
Karibu mnipe mawazo .
#uaminifu ni mfereji wa mafanikio