TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kipindi ninekuwa najaribu kufuatilia hiki kikatuni cha Simpsons huwa kinalenga mambo gani.
Juzi kati hapo nikakutana na scene mpeperusha bendera wa Biden akiwa white house akitoa hotuba na kujibu maswali mbalimbali.
Kama unafuatilia hako kakatuni kwenye the Simpsons "Bart to the Future" season ya 11 na episode ya 17, forward hadi dakika 10:22secs utapata jibu.
Mara kadhaa hawa jamaa wa hii katuni wamekuwa wakitoa kama unabii kupitia hiko kitu na kwa asilimia 89.9 huwa inakuwa kweli.
Haya yetu subra tu na kusubiri wamarekani wachague lkn bunge la mabwanyenye waweke mtu wao.