marehem x JF-Expert Member Joined Dec 28, 2022 Posts 513 Reaction score 792 Jan 15, 2023 #1 Nimekuwa na kawaida kufuatilia wachezaji wetu pendwa lkn huyu cheusi Mangala simuoni oni wenzetu wa series a tubieni kajichimbia hospitali gani
Nimekuwa na kawaida kufuatilia wachezaji wetu pendwa lkn huyu cheusi Mangala simuoni oni wenzetu wa series a tubieni kajichimbia hospitali gani
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,039 Reaction score 10,151 Jan 15, 2023 #2 makidee said: Nimekuwa na kawaida kufuatilia wachezaji wetu pendwa lkn huyu cheusi Mangala simuoni oni wenzetu wa series a tubieni kajichimbia hospitali gani Click to expand... Na timu yake ya Juventus imetoka kuzibuliwa goli tano na Napoli
makidee said: Nimekuwa na kawaida kufuatilia wachezaji wetu pendwa lkn huyu cheusi Mangala simuoni oni wenzetu wa series a tubieni kajichimbia hospitali gani Click to expand... Na timu yake ya Juventus imetoka kuzibuliwa goli tano na Napoli
ivan1212 JF-Expert Member Joined Mar 4, 2019 Posts 932 Reaction score 2,441 Jan 15, 2023 #3 Yuko ana injury nahisi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 15, 2023 #4 Ngoja waje kukupa taarifa...