Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Mnaofuga paka.
View attachment 3209078
Mtagundua paka usipompa attention, ndio atakuja miguuni mwako, kutaka kucheza na wewe.
Ila ukianza kumpa attention, kutaka kumfata fata, mara nyingi ataanza kukukimbia..
Wanaume bila shaka mnajua pakuifanyia kazi hiyo ni wapi.

Anaweza kutumiwa na wanga kukuchunguza hata kama wewe ndie mmiliki?Paka ni mnyama wa kiroho
Anayeongelewa hapo ni π±Duh aiseee ni code ama?
Panya je?Paka ni mnyama wa kiroho
Huyu anayeogelewa na jamaa siyo huyo paka wa kiroho!Paka ni mnyama wa kiroho
ni vizuri kuishi nao kwa akili sana hao paka my friends, ladies and gentlemen πMnaofuga paka.
View attachment 3209078
Mtagundua paka usipompa attention, ndio atakuja miguuni mwako, kutaka kucheza na wewe.
Ila ukianza kumpa attention, kutaka kumfata fata, mara nyingi ataanza kukukimbia..
Wanaume bila shaka mnajua pakuifanyia kazi hiyo ni wapi.
Paka anakuona kutoka ndani kwenda nje maana yake ana sense na ku feel emotions zako kama hasira, furaha, sonona n.k au unaumwa! Pia wanakusaidia ku heal feeling zako.Nasikia paka anaona mpaka ndani ya tumbo, yaani anakuona transparent
Hapana kabisa hana hizo tabia kabisaAnaweza kutumiwa na wanga kukuchunguza hata kama wewe ndie mmiliki?
Sio mzito tu ni hazimo mkuu!Ni paka kweli ndio anaongelewa hapa? Au mimi ndio mzito wa kufikiri π€