Meragraphics Member Joined Dec 23, 2024 Posts 37 Reaction score 45 Dec 26, 2024 #1 Kuna baadhi ya watu wasiojielewa wamekuwa na desturi ya kuchezea vile vibango vinavyoonesha location za mitaa mwisho wa siku wanavigeuza Yaani kama mtaa upo mashariki basi kile kibango kinageuziwa magharibi. MNATUPOTEZA wageni
Kuna baadhi ya watu wasiojielewa wamekuwa na desturi ya kuchezea vile vibango vinavyoonesha location za mitaa mwisho wa siku wanavigeuza Yaani kama mtaa upo mashariki basi kile kibango kinageuziwa magharibi. MNATUPOTEZA wageni
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 27, 2024 #2 Pole sana, wamekuchuza kwenye uelekea wa lodge au? Cc: Mahondaw