Mnaohama vyama jifunzeni Hekima kutoka Kwa Prof Kitila Mkumbo

Mnaohama vyama jifunzeni Hekima kutoka Kwa Prof Kitila Mkumbo

Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
 
wewe sio msemaji wa chama ulichohama, yanini kiherehere kila siku kuongea mapungufu ya x wakoo?
tumia muda wako kumsifia mumeo mpya acha kumaliza nguvu kumtukana mume wa zaman, haikusaidii... au ulimpenda ni vile tu amekuchitiiii ukasusaaaa
 
Ukiulizwa chochote kutoka chama ulichohama, mwambie akamuulize mwenye kiti, usijibu kiti, jikite kwenye sera za chama ulichohamia. Huo ndio uuungwana.
Kabisa

Ni kama Lowassa alivyohamia Chadema hakuisimanga CCM 😃
 
Wewe ukishahama chama jikite na ya huko ulikohamia Ili kuimarisha Ofisi Yako Mpya

Kule ulikotoka mabaya yao waachie wenyewe

Kumkumbuka mliyeachana ni dalili za Wivu

Jumaa Mubarak 😀😀
Inategemea kama umehamishwa maana yake utatakiwa kutii masharti ya muhamishaji wako
 
Kabisa

Ni kama Lowassa alivyohamia Chadema hakuisimanga CCM 😃
Lowassa asingethubutu kuisimanga ccm, maana alikuwa na mali nyingi ya wizi. Huyo Msigwa lazima aiseme cdm maana kuna nafasi moja watapewa yeye au Peneza. Atakayemshinda mwenzake kuiponda cdm ndio atapata hiyo nafasi.
 
Hadi Mwijaku na Steve Nyerere wale Teuzi kwanza 😀
 
Wewe ukishahama chama jikite na ya huko ulikohamia Ili kuimarisha Ofisi Yako Mpya

Kule ulikotoka mabaya yao waachie wenyewe

Kumkumbuka mliyeachana ni dalili za Wivu

Jumaa Mubarak 😀😀

..hata Prof.Kitila wakati wa Magu alikuwa anatoa kauli za kijinga-jinga utadhani hakuwa Katibu Mkuu wa wizara /civil servant.
 
..hata Prof.Kitila wakati wa Magu alikuwa anatoa kauli za kijinga-jinga utadhani hakuwa Katibu Mkuu wa wizara /civil servant.
Kabisa, Kitila alianza kulinda mdomo wake baada ya Magufuli kufariki ndio akajua unaweza poteza muda wowote kwa kumtegemea sponser.
 
Wewe ukishahama chama jikite na ya huko ulikohamia Ili kuimarisha Ofisi Yako Mpya

Kule ulikotoka mabaya yao waachie wenyewe

Kumkumbuka mliyeachana ni dalili za Wivu

Jumaa Mubarak 😀😀
Wewe jamaa una akili sana sema tuu CCM ndo wanakuharibu😂😂😂😂😂😂

Ila kwa kweli mpaka leo Peter simuelewi. Nilikuwa namuona mwanasiasa wa maana sana Tz hii. Na point siyo kuhamia CCM. Hayo ni maamuzi yake. Ila kiukweli amebehave below the belt…..

Credibility aliyoijenga ka miaka mingi anaipoteza kirahisi hivi? Duh
 
Mwambieni ndg msigwa anajjisahau Sana. Maisha ya siasa yanaitaji busara Sana.
 
Back
Top Bottom