johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Joni saa zingine unaandikaga pointπππWewe ukishahama chama jikite na ya huko ulikohamia Ili kuimarisha Ofisi Yako Mpya
Kule ulikotoka mabaya yao waachie wenyewe
Kumkumbuka mliyeachana ni dalili za Wivu
Jumaa Mubarak ππ
KabisaUkiulizwa chochote kutoka chama ulichohama, mwambie akamuulize mwenye kiti, usijibu kiti, jikite kwenye sera za chama ulichohamia. Huo ndio uuungwana.
Inategemea kama umehamishwa maana yake utatakiwa kutii masharti ya muhamishaji wakoWewe ukishahama chama jikite na ya huko ulikohamia Ili kuimarisha Ofisi Yako Mpya
Kule ulikotoka mabaya yao waachie wenyewe
Kumkumbuka mliyeachana ni dalili za Wivu
Jumaa Mubarak ππ
Lowassa asingethubutu kuisimanga ccm, maana alikuwa na mali nyingi ya wizi. Huyo Msigwa lazima aiseme cdm maana kuna nafasi moja watapewa yeye au Peneza. Atakayemshinda mwenzake kuiponda cdm ndio atapata hiyo nafasi.Kabisa
Ni kama Lowassa alivyohamia Chadema hakuisimanga CCM π
Hadi Mwijaku na Steve Nyerere wale Teuzi kwanza πLowassa asingethubutu kuisimanga ccm, maana alikuwa na mali nyingi ya wizi. Huyo Msigwa lazima aiseme cdm maana kuna nafasi moja watapewa yeye au Peneza. Atakayemshinda mwenzake kuiponda cdm ndio atapata hiyo nafasi.
Wewe ukishahama chama jikite na ya huko ulikohamia Ili kuimarisha Ofisi Yako Mpya
Kule ulikotoka mabaya yao waachie wenyewe
Kumkumbuka mliyeachana ni dalili za Wivu
Jumaa Mubarak ππ
Kabisa, Kitila alianza kulinda mdomo wake baada ya Magufuli kufariki ndio akajua unaweza poteza muda wowote kwa kumtegemea sponser...hata Prof.Kitila wakati wa Magu alikuwa anatoa kauli za kijinga-jinga utadhani hakuwa Katibu Mkuu wa wizara /civil servant.
Wewe jamaa una akili sana sema tuu CCM ndo wanakuharibuππππππWewe ukishahama chama jikite na ya huko ulikohamia Ili kuimarisha Ofisi Yako Mpya
Kule ulikotoka mabaya yao waachie wenyewe
Kumkumbuka mliyeachana ni dalili za Wivu
Jumaa Mubarak ππ