Tetesi: Mnaohama vyama kuunga mkono juduhi mnamkumbuka ben rabiu saanane?

Tetesi: Mnaohama vyama kuunga mkono juduhi mnamkumbuka ben rabiu saanane?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Nimeona niwaulize wale Malaya kwa mujibu wa nyerere wale wanaohama vyama kuunga mkono juhudi je?

Mnamkumbuka

Ben rabiu saanane?

Asubuhi njema!!!
 
Mi sidhani kama Ben saa8 amedhulumiwa.
Zaidi ya watendaji kuzidhulumu nafsi zao.
Kwani kama wamemuua basi wameiua nafsi ambayo haikustahili kufanyiwa hivyo
Na hivi punde watajua.

Kwani ulimwengu una umri gani?
Je life span yetu ni miaka mingapi?
Je Nabii NUHU aliyeishi miaka 1000+ yu wapi.ameondoka !!!
BASI HATABAKIA YEYOTE
 
Nimeona niwaulize wale Malaya kwa mujibu wa nyerere wale wanaohama vyama kuunga mkono juhudi je?

Mnamkumbuka

Ben rabiu saanane?

Asubuhi njema!!!
Nikusahihishe tu Mkuu,
Wale hawaungi mkono tu, bali wanaunga mwili mzima. Manake kama wanajipeleka wazima wazima hapo uwezi kuita mkono tu.
 
Nikusahihishe tu Mkuu,
Wale hawaungi mkono tu, bali wanaunga mwili mzima. Manake kama wanajipeleka wazima wazima hapo uwezi kuita mkono tu.
Hao wanaounga mkono wamejichimbia kaburi 2020 ndo wataelewa umaarufu wao utaporomoka maradufu, ushawishi wao hautakuwapo tena na ubunge wataukosa watabak kuwa madaka wa kawaida tu wasio na impact
 
Mkuu usiogope Sasa chadema inapanga mapandikizi ya kufa mtu utaona nini kitatokea kwenye changu I zijazo

Swissme
 
Back
Top Bottom