Mnaohangaika mitaji pitia hapo

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Umewahi kusikia fedha za mkopo za Halmashauri zile zinazokopeshwa bila riba?

Mambo muhimu:

1.Unda kikundi cha vijana, wakina mama au walemavu. Kuanzia watu watano na kuendelea

2. Andaa katiba yenu na muisajili Halmashauri.

3. Procedure nyingine ndogo ndogo kisha mnaomba mkopo. Japo kuna viwango maalumu vya kuanza kukopa mfano mtu mmoja anaanza kupewa 600,000/ kwa mwaka baada ya hapo utaomba zaidi. Ila ukiwa umechangamka unaweza kupata zaidi.

Jambo muhimu zaidi: Uwe na biashara hata kama sio wote angalau Mwenyekiti wa kikundi awe mtu active na mwenye kuweza kusimamia wenzie (Ndio mdhamini mkuu wa kikundi)

Ziada lakini muhimu: Najua wengi mtaona mzunguuko lakini nani anaweza kukupa hela bila masharti yeyote? Naweza kuwaongoza kila hatua ukiwa unahitaji.

(siri)

Unaweza kuunda kikundi ukachukua mkopo utautumia wewe peke yako ila zingatia maelekezo nitakayo kupatia. Marejesho ndio msingi wa kufanikiwa kwako.
 
MH,,SISI TUMEJIUNGA TOKA JULY HADI LEO HII BADO PROCESS ZINAENDELEA KWAKWELI KWNY PESA SIO KITU RAHISI KUPATA HASA HII MIKOPO YA SERIKALI INA PROCESS SAANA,DI[QUOTE="Matendo Andrew, post: 33579339, member: 218321"
Umewahi kusikia fedha za mkopo za Halmashauri zile zinazokopeshwa bila riba?

Mambo muhimu:

1.Unda kikundi cha vijana, wakina mama au walemavu. Kuanzia watu watano na kuendelea

2. Andaa katiba yenu na muisajili Halmashauri.

3. Procedure nyingine ndogo ndogo kisha mnaomba mkopo. Japo kuna viwango maalumu vya kuanza kukopa mfano mtu mmoja anaanza kupewa 600,000/ kwa mwaka baada ya hapo utaomba zaidi. Ila ukiwa umechangamka unaweza kupata zaidi.

Jambo muhimu zaidi: Uwe na biashara hata kama sio wote angalau Mwenyekiti wa kikundi awe mtu active na mwenye kuweza kusimamia wenzie (Ndio mdhamini mkuu wa kikundi)

Ziada lakini muhimu: Najua wengi mtaona mzunguuko lakini nani anaweza kukupa hela bila masharti yeyote? Naweza kuwaongoza kila hatua ukiwa unahitaji.

(siri)

Unaweza kuunda kikundi ukachukua mkopo utautumia wewe peke yako ila zingatia maelekezo nitakayo kupatia. Marejesho ndio msingi wa kufanikiwa kwako.
[/QUOTE]
 
[/QUOTE]Vumilia ukijiongeza kua karibu na mtu pale halmashauri italeta wepesi
 
Mie niliambiwa inatoka kila miezi 3 Kwa mi3
 
NAMEIDEN,

Mie niliwah shawishiwa tukajiyafta watu wa5..ile hela iliingia baadabya miez 6..alafu lak5@!ujinga mtupu
 
Mie niliwah shawishiwa tukajiyafta watu wa5..ile hela iliingia baadabya miez 6..alafu lak5@!ujinga mtupu[/QUOTE][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwa hiyo mligawana kila mmoja laki moja moja?Kwa usumbufu wote wa miezi 6
 
Mie niliwah shawishiwa tukajiyafta watu wa5..ile hela iliingia baadabya miez 6..alafu lak5@!ujinga mtupu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kwa hiyo mligawana kila mmoja laki moja moja?Kwa usumbufu wote wa miezi 6
[/QUOTE]

Nimeandika 50000k@!
 
Mkuu je kuna vikundi vingine huwa hawapewi hiyo mikopo licha ya kufanikisha hatua zote hizo.?
Nauliza hvy maana naona danadana haziishi manispaa .so bora nijue nisijipe matumaini yakupata busta
Mwezi wa 6 huu bado twapiga kalenda
 
Yaaaani huku kwetu Morogoro Kuna vijana walikamilisha kila kitu mwaka wa tatu sasa hata mia moja hawajapata ni kazi ya kupigwa kalenda tuu!! Mara barua imepotea nk.@mtakahela,
 
Yaaaani huku kwetu Morogoro Kuna vijana walikamilisha kila kitu mwaka wa tatu sasa hata mia moja hawajapata ni kazi ya kupigwa kalenda tuu!! Mara barua imepotea nk.

Mmmhh miaka mitatu bado wanafuatilia tuu?
 
Yaaaani huku kwetu Morogoro Kuna vijana walikamilisha kila kitu mwaka wa tatu sasa hata mia moja hawajapata ni kazi ya kupigwa kalenda tuu!! Mara barua imepotea nk.@mtakahela,

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ..inakera duh...!sisi nadhan ndo tulikua wa kwanza kwanza kupewa!since then sijachukua mamikopo yao..kwanza mamikopo ya vikundi headache sana .alafu kianzio kidogo sana...!
 
Mkuu mwaka gani huo ukiofanikisha ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…