THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Habarini wanajukwaa.
Nianze kwa kusema Mimi ni Muumini mzuri kabisa wa Historia na napenda sana Historia..na katika mpira Historia ni moja ya kitu kinaamua sana Matokeo angalia mfano Manchester United hajashinda pale Uwanja wa Liverpool toka mwaka 2016 hadi leo liverpool awe mbovu vipi na Man U iwe na uzuri vipi atakufa tu pale akijitahidi ni draw.
Angalia Bayern awe mbovu vipi ila akikutana na Dortmund atampiga tu. Angalia pia Bayern awe mzuri vipi akikutana na Borussia Monchengladbach atachezea tu hata iwe vipi tena kipigo kizito.
Ndio historia ipo hivo. Historia ndio inaibeba Real Madrid ikiwa UEFA kila mtu anaiogopa Madrid hata kama ikiwa mbovu.
Lakini pia kwenye kila General Rule tunajua kua Exception. Exception ya kuitoa historia kuamua matokeo inaitwa Good Team. Timu ikiwa nzuri na ina msimu Bora historia hua inafutwa inachakazwa sana.
Hilo limejidhihirisha mara Nyingi sana huko ulaya na Msimu huu pia limeonekana Na limedhibitishwa na Team inaitwa Napoli hii Timu msimu huu ina kikosi hatari sana na ina msimu Bora sana toka ianzishwe hadi saiv ipo juu ya msimamo wa Serie A ikiwa imemzidi Inter alie nafasi ya pili point 18 haijaishia hapo.
Katika Historia yake Napoli ndio kwa Mara ya Kwanza imefuzu na kufika Robo Fainali ya UEFA narudia katika historia yake nikimaanisha toka ianzishwe imezishinda Team nyingi na kubwa ulaya na zingine hata hazikupata bahat ya kuingia UEFA.
Hii inatoa Funzo hata kwa Sisi Watanzania tukae tuelewe kua Team ikiwa na Msimu Bora na ikawa na kikosi Bora historia sio kigezo Itavunjwa tu so hii iwape somo wale wote wanaoibeza Yanga kua haiwez fika Robo Fainali ya CAF Confederation Cup eti kisa sio wazoefu😂😂
Tujitahidi kufatilia mpira hafi wa Nje hii itatukomaza katika kuelewa maswala ya Mpira tuache ushabiki wa kilala hoi.
Yanga inaweza fanya Lolote msimu huu ikafika hata Nusu tusishangae hilo maana hata Napoli inafanya hivo saiv huko ULAYA.