Mnaoishi mjini, hivi Gwajima yupo?

Ukitaka kujua alipo muulize mkuu wake wa mkoa maana yule jamaa siunajua anatuhuma inawezekana alipo m/kiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa anajua
 
Yule ni Lecturer wa vyuo vingi Canada, china na Finland ibada yake ya mwisho aliaga kuwa atakuwa uko kwa Week kumi
 

Kumbe na Wewe ' Ujanja ' wote huo ' unaabudu ' Kwake? Yaani ' Mzungu / Mjapan ' amlipe ' Mahelikopta ' dola Laki Moja mpaka Mbili kwa Saa? Tafuta wa ' Kuwadanganya ' ila siyo Mimi tafadhali.
 
Kwani hukusikia kama alisafiri kwenye Ujerumani? Yule ni Doctor of Theology. Ana mapindi vyuo vikuu vya mashariki ya mbali
 
Dude limeamshwa Osaka Japani.

ningekuwa Kule ninge sema "kwa kubana pua"

Beby will you fly to Osaka Japani?
 
Niliona moja ya clip yake akiwa Japan akihubiri kwa lugha ya kiingereza na mkalimani akiwa pembeni yake, nilibaki najiuliza swali hili, " hivi ni kwanini nabii huwa hakubaliki kwao? "
 
Dah nimemiss sana mahubiri yake aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…