FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Je, ni haki kumwambia mtu anaishi store ilihali yupo kwenye chumba safi kabisa, kitanda safi, meza ya jiko safi, masofa safi, ndoo za maji zimepangiliwa vizuri, kimeza cha sebule cha kulia cha kula safi, pikipiki inabanwa kwenye kona safi, vyombo vya jikoni vimepangwa safi, kabati la nguo limebanwa vizuri kwenye kon, halafu wewe uje kusema anaishi store?
Ni haki hiyo?
Ni haki hiyo?