FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ili iweje?Usiku ukilala unaweka sufuria isiyo na kitu mlangoni juu ya stuli 😁!.
Wanapita dilishaniUsiku ukilala unaweka sufuria isiyo na kitu mlangoni juu ya stuli [emoji16]!.
Kama hukuwahi kupitia hayo maisha huwezi kuelewa mkuu!.Ili iweje?
Mnaoishi stop huwa mna hasira, kila kitu mnalaumu na walalamishi Sana kama wewe hapo.Je, ni haki kumwambia mtu anaishi store ilihali yupo kwenye chumba safi kabisa, kitanda safi, meza ya jiko safi, masofa safi, ndoo za maji zimepangiliwa vizuri, kimeza cha sebule cha kulia cha kula safi, pikipiki inabanwa kwenye kona safi, vyombo vya jikoni vimepangwa safi, kabati la nguo limebanwa vizuri kwenye kon, halafu wewe uje kusema anaishi store?
Ni haki hiyo?
Wewe ni WA storeJe, ni haki kumwambia mtu anaishi store ilihali yupo kwenye chumba safi kabisa, kitanda safi, meza ya jiko safi, masofa safi, ndoo za maji zimepangiliwa vizuri, kimeza cha sebule cha kulia cha kula safi, pikipiki inabanwa kwenye kona safi, vyombo vya jikoni vimepangwa safi, kabati la nguo limebanwa vizuri kwenye kon, halafu wewe uje kusema anaishi store?
Ni haki hiyo?
Wewe umekuwa kama wamasai wa Ngorongoro, unaishi na wanyama mkuuMimi naishi na mkaa na gesi humo humo ndani
Halafu pia nafuga paka
Inshi kulingana na uwezo wako, usiishi kwa kufata matakwa ya mtu, utafungwa kwa madeniJe, ni haki kumwambia mtu anaishi store ilihali yupo kwenye chumba safi kabisa, kitanda safi, meza ya jiko safi, masofa safi, ndoo za maji zimepangiliwa vizuri, kimeza cha sebule cha kulia cha kula safi, pikipiki inabanwa kwenye kona safi, vyombo vya jikoni vimepangwa safi, kabati la nguo limebanwa vizuri kwenye kon, halafu wewe uje kusema anaishi store?
Ni haki hiyo?