Nazungumzia vitz new kuanzia toleo la 2007 zenye engine ya cc 1290 , 2sz, 1nz,2nz kuendelea hii gari haizungumziwi sana kama ist ila ni moja kati ya gari comfortable kwa mtu mwenye kipato cha chini na engine ya 1290 mafuta inanyonya kiasi na zinadumu sema ni kagari ambako hakazungumziwi tu
15-18Km/LKwani hizo IST na vits town trip zinatembea km /lt?
Hamna vitz hata ya cc 990 inayochemsha Fanya service vizuriVinachemka ivo vitoy jichanganye
Hicho kigari kilinitesa na hakiuziki, mafundi wenyewe wanakushauri hicho kigari sio cha kununua. Jamaa anashauri watu wakapate mateso.Uliza vizuri kaka vitz sio gari yakushauri wenzio wanunue
Gari matunzo wewe mi mbona Nina vitz number A ila inasafiri kila mkoa wewe unajua kuendesha gari ila matunzo huweziVITZ vigari vya hovyo sana hasa vikianza kuchoka body, gari hiyo ukinunua hakuna unaeweza kumuuuzia hata dalali anaanza kuisimanga ukimpelekea
tuione kwa picha hiyo namba A tuma hapa tucommentGari matunzo wewe mi mbona Nina vitz number A ila inasafiri kila mkoa wewe unajua kuendesha gari ila matunzo huwezi
Unataka uniteke si ndo zenutuione kwa picha hiyo namba A tuma hapa tucomment