TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Kigamboni ipi hiyo wanauza 17k?? Ni 15kKigamboni 17,000
Ubungo 15,500
Kinondoni 16,000
Kawe mbezi kwenda bunju 16,500
Ilala 16,000
Temeke 16,500
WENGINE HUSEMA NI WOGA WA MAISHANikupe hongera kwa kuwa na akili ya kujenga
Wameishiwa haoWENGINE HUSEMA NI WOGA WA MAISHA
Kama mangi hayupo nenda hapo kwa Mpemba ipo nimeona asubuji hii.Habari wadau..!
Mwezi huu nilikuwa na plan ya kuendeleza ujenzi lakini nimekwama maana dukani ninaponunua cement mangi kasafiri ghaflaππππ
Naomba nipewe update cement inavyouzwa huko mitaa yenu.
Asanteni.
Nishanunua teyari 15,000/= mfukoKama mangi hayupo nenda hapo kwa Mpemba ipo nimeona asubuji hii.
RUNZEWE PIA!BEI NI SAMEBukombe 20000
Safi sana....tuendelee kuijenga nchi yetuNishanunua teyari 15,000/= mfuko
Kigamboni 17,000
Ubungo 15,500
Kinondoni 16,000
Kawe mbezi kwenda bunju 16,500
Ilala 16,000
Temeke 16,500
Hatarii sana kama walioko karibu na kiwanda bei iko juuKigamboni japo kuwa na kiwanda karibu cha nyati bado bei juu?,mbezi ,bunju napo si wapo karibu na twigs?
Mikoani ni 20+atarii sana kama walioko karibu na kiwanda bei iko juu
na sisi wa mikoani itakuaje
Mkoa gani?Nishanunua teyari 15,000/= mfuko
Unasema nyati arobaini na 42 ??????Kigamboni 15,000 .. nyati 42