Ata sijui kwa kweliWameishia wapi
Wazee njaa hao.Mnaojua kuhesabu siku bado zile siku 7 walizotoa wazee wetu hazijaisha?
Pia soma
- Wazee wa Simba wagundua mbinu zilizo wahujumu mechi ya derby
Kumbuka wale ni mbumbumbu.Mnaojua kuhesabu siku bado zile siku 7 walizotoa wazee wetu hazijaisha?
Pia soma
- Wazee wa Simba wagundua mbinu zilizo wahujumu mechi ya derby
Mkuuu,nje ya mada.unatoaga simulizi murua kabisa,Kuna kisa nilisoma huku nikafurahi.Sisi kama wazee, lengo letu lilikua ni kutokea chideoni tu, hayo mengine mumetunukuu vibaya.