musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
Mkuu si uende buguruni uongee na wale wauzaji umpee kwa bei ya kishkaj tuWakuu msaada
Nina mbao pic 650 mninga grade B na C...zimenidodea...zilikuwa Mbezi nimeleta Manzese hali ni ile ile
Nifanyaje...wapi naweza pata mtej wa jumla
Nimeogopa kuliweka namna hiyo kwa sababu sijui utaratibu wa humu wa kutangaza biashara...ndio maana nimeongea generallyTangazo lako tu lilivyokaa ni sababu tosha ya kutouza.
Tangazo halisemi mbao ni saizi gani? Unauza bei gani? Wewe ni mfanya biashara wa mbao au umezipata wapi na vitu maelezo mengine ya msingi na bado unashangaa kwa nini huuzi.
Hili ni tatizo la wabongo wengi wanauza vitu kama vile wamelazimishwa na wanataka wateja ndio waanze kuwabembeleza ili wapewe taarifa za kutosha kuhusu bidhaa huku muuzaji anazitoa kama vile anajitolea.
Wakati unazitoa Liwale kwanini haukuzishusha hapa Buguruni ukaenda kuzishusha Mbezi?Nimeogopa kuliweka namna hiyo kwa sababu sijui utaratibu wa humu wa kutangaza biashara...ndio maana nimeongea generally
Na 2x10x8/9
2×8×8/9
2×6×8/9 Mninga wa Liwale mkuu
50 mil.Bei kwa jumla?
Bei kwa reja reja?
KAZI ni kipimo cha utu
0754693556 nipigie fasta nikupe gwiji la kuuza mbao hapa daslamWakuu msaada
Nina mbao pic 650 mninga grade B na C...zimenidodea...zilikuwa Mbezi nimeleta Manzese hali ni ile ile
Nifanyaje...wapi naweza pata mtej wa jumla
Sawa nakupigia0754693556 nipigie fasta nikupe gwiji la kuuza mbao hapa daslam
Thank youSawa nakupigia
Tuwekee hata pC
Tuwekee hata pC
Nilitaka kuwini soko la MbeziWakati unazitoa Liwale kwanini haukuzishusha hapa Buguruni ukaenda kuzishusha Mbezi?
Mzigo wakutosha kabisaHizo hapo
Nilitaka kuwini soko la Mbezi
Nenda pale Nyaishozi boko ,kuna jamaa wanatengeneza milango na fremu,wanaweza kukupa odaWakuu msaada
Nina mbao pic 650 mninga grade B na C...zimenidodea...zilikuwa Mbezi nimeleta Manzese hali ni ile ile
Nifanyaje...wapi naweza pata mtej wa jumla