....huenda wamefunga sababu ya sikukuu leoWapendwa wana jf kwanza nawasalimu,na baada ya salamu kunakitu sijakielewa kabisa,kuhusu mwendelezo wa hizi biashara,hapa Tabora naona milango mingi ya biashara imefungwa,meza za sokoni nyingi zimefungwa biashara za machinga sasa nikama zimeanza kutoweka nafikiri tunako elekea siko hivi kuna nini?
Na watasherehekea kwa kipindi cha takribani miaka miwili hivi ndio watakua na akili za kuamua nini kifuate.Itakua wana sherehekea kukua kwa kasi UCHUMI wa nchi.[emoji18]