🤣🤣🤣 sasa mkuu milion 30 ndy unaona kiwanja ni gali ebu tembea bhana hao n wakawaida hata muuza bamia ananunua hyo kiwanja akiwa sriazSidhani kama kuna mfanyakazi wa local government kwenye hii mitaa, oi watu wana hela Dah,
Watu wamepambana kweli kweli sio mchezo, huko sidhani kama ardhi/kiwanja mtu anaweza kupata chini ya million 30.
Mfano capripoint Mwanza, juzi nilikua na mwanasheria mmoja akanambia kafunga mkataba wa mauziano million 400 kiwanja,
Tutafute hela tutakapoishia ni hapo hapo, ila tutafute hela.
View attachment 3274377
Unajua bei za viwanja masaki na Oysterbay? Angalia hata kodi zao au bei za apartments utakuja na jibuNchi hiii hakuna sehemu ambapo ardhi yake ina thamani kubwa kuliko kariakoo na Posta
Unajua bei za viwanja masaki na Oysterbay? Angalia hata kodi zao au bei za apartments utakuja na jibu
Unauhakika? Kariakoo ni business center na Oysterbay / masaki ni sehemu za prestige, usibishe bila kujuaNdio najua. Bado haifikii bei ya kariakoo ama posta.
Kiwanja cha sqm less than 400 kariakoo kinauzwa bei kubwa kuliko kiwanja cha sqm 1000 oysterbay na masaki
Unauhakika? Kariakoo ni business center na Oysterbay / masaki ni sehemu za prestige, usibishe bila kujua
Mhh wapi hapo mkuu,😂😂Kahama mjini watu wana nunua kiwanja bilioni na madalali ujajua hesabu yao.
Wezi na majizi wamekuwa ka kasi yani leo ardhi yenye madini ni ndogo kuliko kununua nyumba sehemu kuna biashara
Ndio nimekupa sababu za kwanini oyster bay ina bei zaidi ya kariakoo, Tuliza akili utaelewa ninachokiandiak acha paparaUnachanganya mada. Ubishani wetu ni wa bei za Ardhi kati ya kariakoo na masaki, usihamishe magoli kwa logical fallacy kuleta maneno ya prestige
Namsubiria apa taje, hizo ni zile nyumba zilizo mjini tena hot spot.Sikujua kama kahama mjini kiwanja kinafika bei ya bilioni moja.
Kkoo kuna viwanja au umeamua tu kuharibu uzi?Ndio najua. Bado haifikii bei ya kariakoo ama posta.
Kiwanja cha sqm less than 400 kariakoo tu kinauzwa bei kubwa kuliko kiwanja cha sqm 1000 oysterbay na masaki.
Unawaza kodi za appartment ambazo zina ukubwa wa sqm nyingi ila huwazi bei ya kodi ya fremu ya futi 10 kwa 10 kariakoo ikoje
Ndio nimekupa sababu za kwanini oyster bay ina bei zaidi ya kariakoo, Tuliza akili utaelewa ninachokiandiak acha papara
Unaleta ujanja wa logical fallacy kwenye debate kitaalamu unaitwa Texas sharpshooter yaani unachagua ushahidi wa ujanja ujanja unaotaka wewe kwenye jambo pana ili kushinda debate
Unabishana kijinga kweli kama ni hivyo basi kahama ingekua wilaya yenye viwanja bei zaidi maana kule kuna branches karibu zote za benki pamoja na biashara mchungu nzima, Oysterbay na masaki ni sehemu wanaoishi watu wa zito lazima ziwe na bei ya kukufanya wewe wa buza ushindwe kumudu hata kodi, kariakoo ishindanishe na Posta bro acha ujingaLipo kwenye ardhi yenye sqm ngapi ?
Thamani ya ardhi weka vipimo
Unabishana kijinga kweli kama ni hivyo basi kahama ingekua wilaya yenye viwanja bei zaidi maana kule kuna branches karibu zote za benki pamoja na biashara mchungu nzima, Oysterbay na masaki ni sehemu wanaoishi watu wa zito lazima ziwe na bei ya kukufanya wewe wa buza ushindwe kumudu hata kodi, kariakoo ishindanishe na Posta bro acha ujinga
Unabishana kijinga kweli kama ni hivyo basi kahama ingekua wilaya yenye viwanja bei zaidi maana kule kuna branches karibu zote za benki pamoja na biashara mchungu nzima, Oysterbay na masaki ni sehemu wanaoishi watu wa zito lazima ziwe na bei ya kukufanya wewe wa buza ushindwe kumudu hata kodi, kariakoo ishindanishe na Posta bro acha ujinga
Napozea mda kubishana na mtu aliekaririshwa amini unachokiona Sawa, hao wote waliopo kariakoo ni wafanyabishara na ni sehemu ya biashara tafauti na masaki, Oysterbay wanapokaa wafanyabishara wakubwa wa nchi kama vile kina Bakhresa n. KKariakoo ndio sehemu pekee nchi hii ambayo sheli inauzwa halafu inavunjwa na kujengwa fremu.
Hakuna sehemu yoyote mjini nchi hii ambayo mtu anaweza kununua sheli na kuivunja na kujenga fremu.
ardhi ya Kariakoo ndio inatumika kuleta hela nyingi kwenye pato la taifa kuliko ardhi zote.
Hakuna Bank ambayo haina branch kariakoo.
Na bank kama NMB ina branch zaidi ya 3 katika sehemu moja ya kariakoo
TRA imeiweka kariakoo kama mkoa kabisa wa kikodi. Yaan TRA ya kariakoo inakusanya kodi zaidi ya asilimia 20 ya pato la taifa.