Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,957
- 8,206
Una jua maana ya prestige?Unaongelea watu kuishi ama thamani ya ardhi ?
Mikocheni wanaishi watu wazito
Mbweni wanaishi watu wazito
Upanga wanaishi watu wazito
Kila sehemu kuna watu wazito ila thamani ya ardhi ya kariakoo haisababishwi na watu wazito bali ni business centre
Napozea mda kubishana na mtu aliekaririshwa amini unachokiona Sawa, hao wote waliopo kariakoo ni wafanyabishara na ni sehemu ya biashara tafauti na masaki, Oysterbay wanapokaa wafanyabishara wakubwa wa nchi kama vile kina Bakhresa n. K
Una jua maana ya prestige?
Wewe leta hizo bei na picha zake mimi nimeishakuwekea umekosa pa kujiteteaAchana na kuhamisha magoli kwa logical fallcy ama ujanja wa kimantiki. Simama kwenye hoja ya thamani ya ardhi
Weka ardhi ya sqm 1000 masaki bei yake
Kisha weka ardhi ya sqm 1000 hizo hizo kariakoo tulinganishe mzani
Oya we amini unachokiamini kama hutaki kuelekezwaArdhi ya sehemu ya biashara huwa ina thamani kuliko sehemu ya makazi. Sababu sehemu ya biashara ni haibadiliki, ila makazi inabadilika.
Ndio maana NMB kahama kaweka branch moja tu hajaweka branch nyingi ila NMB huyo huyo kaweka branch 4 kariakoo ambazo zinapishana mitaa tu.
Mkuu, unadhani 30M kuipata ni rahisi?🤣🤣🤣 sasa mkuu milion 30 ndy unaona kiwanja ni gali ebu tembea bhana hao n wakawaida hata muuza bamia ananunua hyo kiwanja akiwa sriaz