Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hellow africa
Nauliza hivi kwanini watz mnao ishi uko nje ya Tanzania wenzenu wakija mnawakataa kabisa kama sio mtz mwezio
Kuna rafiki yangu alipewa connection uko marekan kafika pale kumbe ile ofis ina wabongo kama 5 baada ya kujuana kutokana na utambulisho alio toa boss wao wale wenzie wakawa wanamtenga kiani akienda kuuliza kuhusu kazi apewe maelekezo kuwa inafanyajwe wanamuelekeza juu kwa juu ili aboronge akiboronga boss anamuelekeza vizur kabisa
Sasa kaishi ivyo mpaka alipokuja kujua kuwa hawataki shobo akaacha mazoea kabisa sasa juzi kapata likizo kaja bongo wale majamaa wanamuagiza vitu apeleke kwa ndugu zao mimi sikumficha nilimwambia wakatalie kabisa
Mtu akikataa shobo muonyeshe wewe pia utaki now wanamlalamikia mshikaji et anakinburi