GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
raisi wa ajabu kabisa kuwahi kutokea, lakini tuendelee kumwomba na kumshukuru MWENYEZI MUNGU kwa hakika hataniwi.Ilikua ni kosa kubwa sana tulifanya kama taifa kuruhusu mtu kama magufuli kuwa rais.
Rekebisha upesi hicho Kiingereza chako kibovu katika mstari wako wa Kwanza kabla 'Wordsmiths' wengi hawajagundua.Two wrongs,do not make it light,
Songwe, haikutakiwa kuwa mkoa, ingebaki Mbeya tu, Katavi ingefutwa, Manyara ingefutwa, Pwani Ingefutwa, Dar ingebaki na wilaya zake tatu tu, Ubungo, Kigamboni zingefutwa,
Hizi hoja kwamba unasogeza huduma kwa wananchi? Kwani umbali unaongezeka? Lazima tuwe na kikomo Cha idadi ya mikoa, wilaya, kata, bila hivyo kwa miaka 100 ijayo,tutakuwa na mikoa 70!
Nitakuwa wa mwisho Kuamini hili kwani pamoja na Hayati Rais Dkt. Magufuli kuwa na Mapungufu yake ambayo hata akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete nao walikuwa nayo ila kwa Kiasi chake nae ametufanyia Mema na Maendeleo fulani Watanzania. Tupunguze Chuki Kwake na tuacheni Unafiki pia.Ilikua ni kosa kubwa sana tulifanya kama taifa kuruhusu mtu kama magufuli kuwa rais.
Mikoa inaongezwa ili kuwapatia ulaji watoto na ndugu wa watawala, wenzetu sasa wanaongelea umoja sisi tunaongelea kutengana.Two wrongs,do not make it light,
Songwe, haikutakiwa kuwa mkoa, ingebaki Mbeya tu, Katavi ingefutwa, Manyara ingefutwa, Pwani Ingefutwa, Dar ingebaki na wilaya zake tatu tu, Ubungo, Kigamboni zingefutwa,
Hizi hoja kwamba unasogeza huduma kwa wananchi? Kwani umbali unaongezeka? Lazima tuwe na kikomo Cha idadi ya mikoa, wilaya, kata, bila hivyo kwa miaka 100 ijayo,tutakuwa na mikoa 70!
ulimaanisha 'right' siolight
AiseeTwo wrongs,do not make it light,
Matatizo ya r na l hadi kwenye kiingereza, hii ni mpya.ulimaanisha 'right' sio
Umemsikiliza mnazi wa Chato akiongea BBC Swahili kupambania mkoa na wewe umebeba vilevile alivyosema na kutengeneza 'hoja' pasipo kufanya utafiti huku bando unalo.Je, hawa Watu (wakimaanisha nyie wana JamiiForums) wanaokataa Chato isiwe Mkoa mbona Katavi (sasa Mkoa) Kijiografia ni Mdogo kuliko Chato na haina Miundombinu mizuri (hasa barabara) kama Cbato lakini umekuwa Mkoa na wala hamkulalamika na kusema lolote ila kwa Chato Macho yamewatoka kama Bundi na Mishipa ya Shingo imewashupaal kama Nondo za Madirishani?
Haya sasa kama mnawaweza wajibuni.
kwa manyara umepotea mkuu huko kwingine mi sipafahamu ila manyara na arusha ni sahihi ni pakubwa mnoTwo wrongs,do not make it light,