Mnaokosoa kolabo ya Diamond & Koffi msome HAPA

Nilikuwa bar moja ukapigwa Waah watu wanaendelea na shughuli zao ulivyopigwa Jerusalem watu wengi wakaanza kuuimba..nikajua Wabongo sio wazalendo
 
Nilikuwa bar moja ukapigwa Waah watu wanaendelea na shughuli zao ulivyopigwa Jerusalem watu wengi wakaanza kuuimba..nikajua Wabongo sio wazalendo
Hiyo bar gani mzee Hakuna sehemu yoyote hapa Tanzania ambako kukakosekana Mashabiki wa Diamond
 
Nasikia huko youtube mpaka leo Domo kafikisha viewers laki 9
 
Umezingua tu hapo kwenye uccm na uchadema.
 
Hivi huu mwimbo kuna watu wanakaa na kuusikiliza!!??..aisee mi nimeshindwa yaani ni mziki ambao umeshindwa kushawishi masikio yangu
Sio kila kitu kwaajili ya kila mtu. Tuko pamoja? Ukiona huelewi jambo ujue halikukulenga.
 
Kwa hiyo kwako wewe ule ni mziki mzuri??!!..duh utakuwa msukuma wewe
Lini tumeanza kuchaguliana aina ya muziki mkuu. Kwann uhisi kwamba wasukuma pekee ndio wanahadhi ya kusikiliza muziki usioupenda? Dharau ni kitu kibaya sana. Hata wewe kuna nyimbo unazielewa wenzako hawazielewi.
 
uliposema unaunga ana polepole nikatabiti ataandika upuuzi na kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…