Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Leo nimeona nirudie tena
Kuna watu hawajui faragha ..Unapokutaana na jirani yako guest ukitoka sio lazima utangaze kwakila mtu
Hili la jana limeniumiza sana nilipokea simu sa tano nikamdhamini mtu kawe polisi
Ni kadada jirani yangu
Kufika nkauliza sababu nikaumia sana issue iko hivi(sio dili)
Mdada amepanga na rafiki yake chumba kimoja ..Kwenye huo ukuta kuna mdada x na mume wake chumba chao
Na mkaka y na gfriend wake chumba chao
Jaman mtafanya watu wasiende chukua dawa madada mwacheni umbea haya maisha tu...Mdada akaenda kwa mke wa x mumeo nimekutana nae sehemu tunachukua dawa akajibu kwani shida nn hata mdada y anatumia pia...
Mmh
Mdada akaenda kumuuliza dada y kumbe na wewe unatumia ,,akaulizwa nani kakwambia ? Mdada x amesema ...Mkono uliotembea wakafikishana polisi
Wote mabest ikabidi tudili na waume zao tumeenda kuyamaliza leo.
Mnapokutana faragha msitiriane jaman hata wale mnaona guest waume ama wake za watu awapendi ndoa zimekuwa changamoto ukikutana na mwingine anakupa penzi kama tuition yaani huna hela usomi lazima uhamie kwa vichenchede....
Happyfriday