Mnaokumbuka hii? Ilikuwa 12:00 Songea mpaka 12:00 Dar

Giriki, konda ni ambele, giriki na taulo lake la kufutia jasho, walipoleta tochi na mabalaa yao akahamia zake kwenye lori, tuliopata kumfahamu giriki hajapata kutokea dreva wa viwango vyake, japo yuko kwenye lori hata trafiki hawamsumbui, wengi akisimama wanamwamkia anaondoka zake
 
Kiswele injini nyuma.. kitambo sana Mafinga ilikuwa inapita saa tano asubuhi ikitokea Dar. Ila jamaa walikuwa wanakimbiza balaaah. Ilanga Moto... Safina.... Tawakal.... Taqwa... Special coach.... Lupelo... Matema Beach n.k
 
Ni mwaka gani mkuu? huyu dereva bado yupo road? naweza kupata mawasiliano yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…