FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Sijui ni makusudi au sijui ni kutokufahamu kwenyewe! Green card bado inaweza kupatikana kwa njia nyingi kwa MTz ila tuliyopigwa ban ni green card lottery.Green Card Ninyi Misukule Wa Jiwe mlishapigwa marufuku kushiriki.
Hamna Kumbu Kumbu
Pako vzur kivip tupe maelekezo nduguKwa sababu ya mtoto Pendwa bashite tz ilishatolewa kwa nchi zinazopewa Green card marekani
Tafuta nchi nyingine mbona South Africa pako vzr
Una kichaa weweYaani watu hawajui kutofautisha Green card na ule mchezo wa Green card lottery. Kazi kwelikweli.
Sasa kwani Green card ni nini? Si ndio inakufanya uishi permanent US? Kuna njia nyingi za kupata Green card.Kuna through family,employment n.k.Kwa msaada zaidi zipitie hapa๐๐๐Una kichaa wewe
Chunguza jambo vizuri kabla hujaliongea.Tanzania ipo restricted katika green card...Baashite na baba yake wametuharibia nchi
Upo sahii, akikaa chooni atafikiria na kuelewa usiwazeSasa kwani Green card ni nini? Si ndio inakufanya uishi permanent US? Kuna njia nyingi za kupata Green card.Kuna through family,employment n.k.Kwa msaada zaidi zipitie hapa๐๐๐
Green Card Eligibility Categories
Hiyo Green card lottery ni kama mchezo wa bahati nasibu unaokufanya upate hiyo Green card itakayokufanya uishi Marekani kama ukibahatika.Kama umeshindwa kumeet criteria za wewe kuweza kupata green card kwa njia za awali,hii inaweza kukufaa na ukapata nafasi kama ukibahatika.
Hivyo Mtanzania mwenye ndoto ya kuishi Marekani kazuiwa kupata Green card(permanent residency) kwa njia ya Green card lottery tu.Ila zipo njia nyingine za kupata nimeshazieleza hapo juu.
Tatizo madogo mkikaa mjini kidogo mnajiona mnafahamu mambo kuliko wazoefu.