Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Nahitaji msaada Mama yangu ameagiza VW Touareg Model ya kwanza 2002-2006,3.2 Engine V6. Ila cha kushangaza baada ya kutembea wiki 2 Taa ya Check Engine imewaka.
Ameenda kwa Mafundi wameiangalia wanasema haina tatizo ni mafuta ya Bongo ndiyo hayana Viwango, nataka kufahamu wenye Gari kama hizo na wao kama wanapitia tatizo kama hili?
Manake wameiondoa imekaa wiki 3 imewaka tena.