Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Sasa si watumie Diagnostic machine ndio itasema shida ni nini.., mafuta ya bongo kwani Touareg zingine zinatumia mafuta gani?Nahitaji msaada Mama yangu ameagiza VW Touareg Model ya kwanza 2002-2006,3.2 Engine V6.
Ila cha kushangaza baada ya kutembea wiki 2 Taa ya Check Engine imewaka.
Ameenda kwa Mafundi wameiangalia wanasema haina tatizo ni mafuta ya Bongo ndiyo hayana Viwango,nataka kufahamu wenye Gari kama hizo na wao kama wanapitia tatizo kama hili?
Manake wameiondoa imekaa wiki 3 imewaka tena.
Mkuu fundi wake kamwambia aache kuweka mafuta machafu.
mafuta ya maweseSasa si watumie Diagnostic machine ndio itasema shida ni nini.., mafuta ya bongo kwani Touareg zingine zinatumia mafuta gani?
Acha uongoMjerumani amefanya wengi kutojenga
Basi Mjerumani atakua mtu mbaya Sana aiseeMjerumani amefanya wengi kutojenga
Nahitaji msaada Mama yangu ameagiza VW Touareg Model ya kwanza 2002-2006,3.2 Engine V6. Ila cha kushangaza baada ya kutembea wiki 2 Taa ya Check Engine imewaka.
Ameenda kwa Mafundi wameiangalia wanasema haina tatizo ni mafuta ya Bongo ndiyo hayana Viwango, nataka kufahamu wenye Gari kama hizo na wao kama wanapitia tatizo kama hili?
Manake wameiondoa imekaa wiki 3 imewaka tena.